UPUNGUFU WA CHAKULA DODOMA WATISHIA KUSAMBARATIKA KWA FAMILIA


Wanasemina walioandika taarifa hii wakisikiliza kwa makini kabla ya kwenda kufanya mahojiano na wahusika

Imeelezwa kuwa tatizo la ukame katika manispaa ya Dodoma Mjini, limechangia upungufu wa chakula na kuchochea baadhi ya familia zenye kipato cha chinikusambaratika.

Akizungumza na wandishi wa habari wa Semina Dodoma, Afisa Mazingira Manispaa ya Dodoma Bibi Hapiness Karugaba amesema kuwa kutokana na mavuno hafifu yanayosababishwa na hali ya ukame, baadhi ya familia hushindwa kuhudumia familia zao.

Sikiliza sauti ya Happiness Karugaba hapa chini...
 
Kwa upande wao baadhi ya wananchiwa Dodoma wakizungumza na Waandishi wa Habari Semina Dodoma wameelezea jinsi wanavyoathiriwa na ukame huo. Sikiliza sauti ya Cosmas Laurent hapa chini...
 
Akizungumzia suala hilo hilo la ukame Afisa Lishe wa Manispaa ya Dodoma, Semeni Juma amesema uhaba wa chakula umechangia lisheduni inayosababisha udumavu wa akili kwa watoto wadogo kudhoofika kwa mwili.
 
Anaelezeamikakatiinayochukuliwanaserikalikukabiliana na hali hiyo.

Sikiliza sauti ya Semeni Juma hapa chini...
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 Response to "UPUNGUFU WA CHAKULA DODOMA WATISHIA KUSAMBARATIKA KWA FAMILIA"

Post a Comment